Alhamisi, 8 Januari 2015

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME SIRI KUBWA YAFICHUKA!





JE UNAFAHAMU KUWA UNAWEZA KUPONA TATIZO HILI BILA HATA YA KUMEZA MADAWA?
  
(Hii ni kwa wale waliozaliwa na Nguvu zao za Kiume lakini zikapungua/kupotea.Si kwa wale waliozaliwa Hanithi)


UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI NINI?
Ni hali ya mwanaume kushindwa kumfikisha kileleni mke wake au kwa lugha nyingine ni hali ya mwanaume kushindwa kumridhisha kimapenzi mke wake.

DALILI ZA MWANAUME MWENYE UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Zifuatazo ni baadhi ya dalili za mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume:
i)                    Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha Uume wake barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
ii)                   Na hata uume wake ukisimama hubaki kuwa goigoi/legelege na huweza kusinyaa wakati wowote.
iii)                 Kumaliza mapema/kufika kileleni mapema kabla ya mke wake.
iv)                 Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja. Hapa mwanaume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume.
v)                  Uume kusinyaa na kurudi ndani. Hapa uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa. Hali hii kwa kiasi kikubwa husababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu pamoja na magonjwa hasa hasa chango la kiume au ngiri.
vi)                 Mwanaume kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa faragha na mke wake.
vii)               Mwanaume Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa uume wake. Hali hii inajitokeza pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume, linapokuwa limekomaa.

FAHAMU KUWA: Uume husimama (Hudinda) barabara pale mishipa yake ya damu inapopata msukumo wa kutosha wa damu. Na hili linawezekana pale ambapo mfumo wa mzunguko wa damu (The Blood circulation system) wa mwanaume unapokuwa katika hali nzuri ya kiafya. Mfumo huo unahusisha Moyo na mishipa ya damu.
“Kitu chochote ambacho ni kibaya au hatari kwa Moyo wako pia ni kibaya kwa Uume wako,” anasema Profesa Andrew McCullough, Mkurugenzi  wa Program ya Afya ya Uzazi katika chuo kikuu cha New York (New York University, Langone Medical Center).
Mfano mzuri na rahisi kabisa wa kitu kibaya au hatari kwa moyo ni vyakula vya mafuta.

CHANZO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Zifuatazo ni baadhi ya sababu zinazosababisha upungufu wa Nguvu Za Kiume kwa wanaume waliowengi:
i)                    Kufanya Punyeto kwa muda mrefu. Mtu anapopiga punyeto anakuwa anaiminya mishipa inayo sababisha kusimama kwa uume, baada ya muda fulani, mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na hivyo linapo kuja suala la kusimamisha uume, mwanaume huyu anakuwa hana uwezo tena wa kusimamisha uume wake.
ii)                  Matumizi ya mara kwa mara ya madawa makali ya kuongeza nguvu za kiume (Hasa madawa ya kizungu). Madawa haya husababisha mishipa ya uume kulegea kwa sababu hui-overdose mishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi zaidi ya kiwango chake. Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu humfanya muhusika kuwa tegemezi na pia hufanya mishipa ya uume wa muhusika kulegea na kukosa nguvu.
iii)                Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi kwa sababu huathiri moyo na mzunguko wa damu mwilini na hivyo uume kukosa msukumo wa damu wa kutosha katika mishipa yake ya damu.
iv)                Presha na ugonjwa wa kisukari
v)                  Ulevi kupita kiasi. Mfano ulevi kupita kiasi wa pombe, madawa ya kulevya husababisha mwanaume kupoteza Nguvu Za Kiume.  
“Mpaka sasa hakuna utafiti wowote unao onyesha kuwa unywaji pombe wa kiasi unaweza sababisha upungufu wa Nguvu Za Kiume, lakini tafiti nyingi zinaonyesha kuwa unywaji pombe kupita kiasi wa mara kwa mara kwa muda mrefu husababisha tatizo la kuharibika kwa INI (Liver damage), uharibifu wa mfumo wa fahamu (Nervous system) na kuvuruga mpangilio wa uzalishaji wa homoni (kichocheo) ya uzazi ya kiume na hatimae kusababisha Upungufu wa Nguvu Za Kiume,” anasema Profesa Ira Sharlip wa chuo kikuu cha Kalifonia, kutoka katika kitengo cha udaktari.
vi)                 Msongo wa mawazo au uchovu kupita kiasi. Hii husababisha mwanaume kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa katika sita kwa sita na mke wake. Msongo wa mawazo unaufanya mwili kushindwa kuzalisha kiwango cha kutosha cha vichocheo vya kufanya tendo la ndoa. Ili mwanaume aweze kuwa na hamu na nguvu ya kufanya tendo la ndoa lazima tezi dume lake liwe na afya bora.Madini ya zinki ambayo hupatikana kwa urahisi katika maharage,vitunguu,matango,karoti,spinachi,kabichi na matunda mbalimbali husaidia kufanya tezi dume kuwa imara.

vii)              Uoga au wasiwasi wa kufanya tendo la ndoa kutokana na kutokujiamini.
viii)              Kuvaa nguo ya ndani/chupi inayobana sana kwa muda mrefu huiminya mishipa ya damu iliyopo katika uume na baada ya muda mrefu mishipa hiyo hulegea na kusababisha kupungua kwa uwezo wa uume kusimama.
ix)                Magonjwa kama ngiri, chango la kiume, kupooza kwa mwili n.k

JE WEWE PIA UNA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?
Kama Jibu Lako ni Ndio, Pole sana kwa tatizo ulilonalo,lakini usihofu kwa sababu tatizo lako litaisha moja kwa moja, utalisahau maana Nguvu Zako za Kiume zitarudi na utanguruma kama Simba nyikani, utatamba kama kifaru au kijana aliye balehe leo.Pia tambua kuwa si wewe tu mwenye tatizo hilo, kuna watu wengi sana wenye matatizo hayo na wamepona.Tafiti mbalimbali za kitaalamu zinaonyesha kuwa katika kila wanaume 10 hususani wale wanaoishi katika maeneo ya mjini, wanaume 4 wana tatizo hilo, na si wazee tu hata vijana wengi tu.Hii imesababisha vijana na wazee wengi kujiingiza katika kutumia dawa mbalimbali za kuongeza Nguvu za kiume zikiwemo zile za kizungu mfano VIAGRA ambazo zina madhara makubwa kiafya. Baadhi ya madhara ya dawa hizo yamekuwa kama yafuatayo:
1)      Kwa wale wenye magojwa ya moyo, wengine wamekuwa wakifariki wakati wakifanya tendo la ndoa kwa sababu wengi wao hawaendi katika vituo vya afya kupata ushauri wa daktari kabla ya kuvitumia.
2)      Wengine yamewasababishia Upofu na wengine madhara mengine (Side effects) mengi tu,
3)      Lakini pia hayo madawa ya kizungu pamoja na mengine ya kienyeji yamewafanya watu kuwa tegemezi kwa maana ya kuwa  asipoipata basi  UUME wake huwa hausimami kiasi cha kuweza kumridhisha mwenzi wake na hata ukisimama mwanaume humaliza mapema  kabla ya mke wake (Pre-mature ejaculation). Kwa hiyo kama huna pesa za kununua dawa huna jeuri au ujasiri wa kutafuta mechi. Dawa hizi zinatoa matibabu ya muda mfupi tu wa masaa kadhaa, hazitoi suluhisho la kudumu na matokeo yake zinaendelea kumfanya mtu aendelee KUPOTEZA NGUVU ZA KIUME na kutokujiamini.

SIRI KUBWA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME WANAOZITENGENEZA HAWATAKI UJUE
Dawa zote za kuongeza nguvu za kiume(za kizungu kama VIAGRA na hata zile za kienyeji), zinapomezwa nusu saa au saa moja kabla ya tendo la ndoa, huufanya mwili kuzalisha kemikali inayoitwa NITRIC OXIDE. NITRIC OXIDE inapozalishwa huifanya mishipa ya damu mwili mzima na hata ile iliyoko katika UUME kutanuka na kuruhusu DAMU ya kutosha kupita kwa msukumo/presha kubwa kuzunguka mwilini mpaka katika UUME na hivyo kuufanya UUME usimame kama msumari. Msukumo wa damu unaposababishwa na NITRIC OXIDE iliyozalishwa na madawa makali ya kuongeza nguvu za kiume (Hasa zile za kizungu na baadhi ya za kienyeji) husababisha mishipa ya damu iliyopo katika UUME kufanya kazi kupita kiwango chake kwa maana ya kwamba inakuwa overdosed. Matumizi ya muda mrefu ya dawa hizo kali husababisha mishipa ya uume kupoteza nguvu na kulegea na hivyo kumfanya mwanaume kupoteza nguvu za kiume na kumfanya kuwa TEGEMEZI wa dawa hizo kila anapotaka kufanya tendo la ndoa na mke wake. Hii ina maana kwamba sasa anajikuta analazimika kuzinunua hizo dawa kwa ajili ya kuzitumia kila wakati anapotaka kufanya tendo la ndoa na mke wake na hivyo kuendelea kuwatajilisha wanaozitengeneza na kuziuza.Anageuka kuwa mtumwa.  
Pia baada ya masaa kadhaa NITRIC OXIDE iliyozalishwa kwa namna hii huisha mwilini na hivyo kuufanya UUME kusinyaa.Matumizi ya muda mrefu ya dawa hizi humfanya mwanaume apoteze uwezo wa kujiamini na huendelea kuwa TEGEMEZI.

FAHAMU kwamba unao uwezo mkubwa wa kujinasua au kujiepusha katika minyororo hiyo ya UTEGEMEZI/UTUMWA kwa kuzalisha moja kwa moja NITRIC OXIDE mwilini mwako wewe mwenyewe kwa njia za asili na zisizo na madhara tena kwa gharama ndogo na ndani ya muda mfupi. Hii ni siri ambayo watengeneza dawa za kuongeza nguvu wengi wasingependa uipate kwa sababu zitakuepusha na mitego yao ya kukugeuza wewe kuwa soko kubwa la dawa zao na kuwafanya kuwa matajiri.JEMBE MIX ndio suluhisho na chaguo lako namba moja na mwisho wa kitabu hiki nitakuelekeza jinsi ya kuitengeneza wewe mwenyewe ili usiwe TEGEMEZI au MTUMWA wa mabepali.

JE JEMBE MIX NI NINI? 

JEMBE MIX ni mchanganyiko maalumu wa virutubisho vitokanavyo na mimea (Matunda,mbogamboga, miti) na vyakula vingine ambao utakuletea suluhisho la KUDUMU la tatizo lako na haina madhara ya aina yoyote katika afya yako. Mchanganyiko huo umefanyiwa utafiti wa miaka mingi na wataalam mbali mbali wa sayansi ya lishe duniani . Ikitumiwa kama inavyotakiwa, matokeo huanza kuonekana kuanzia wiki 2. Matokeo mazuli Zaidi huanza kuoneana baada ya Mwezi mmoja.

JE JEMBE MIX INATENGENEZWA KWA KUTUMIA MIMEA GANI?
Jembe mix inatengenezwa kwa kutumia virutubisho vitokanavyo na mimea ifuatayo:
i)                    Mdalasini (Cinnamon)
ii)                   Kitunguu Saumu (Garlic)
iii)                 Ginger (Tangawizi)
iv)                 Pilipili Manga (Black pepper)
v)                  Karafuu (Clove)/Zanzibar Tea Masala
vi)                 Habat soda/Habat sawda (Black seed)
vii)              Unga wa Soya (Soya flour)
viii)                 Asali

FAIDA ZA JEMBE MIX NA JINSI GANI INAKUFANYA KUWA JEMBE?

JEMBE MIX ikitumiwa kama inavyoelekezwa:
a)      Itauwezesha mwili wako wenyewe kuzalisha NITRIC OXIDE  moja kwa moja (automatically) na ya KUDUMU na hivyo kuuwezesha UUME wako kusimama imara kama msumari, kama kifaru, kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa tendo la ndoa, wakati wowote na mahari popote uwapo katika mechi na hivyo utaweza mridhisha mpenzi wako kishujaa na utafurahia ndoa yako.
b)      Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.Kwa kifupi mwanaume anakuwa JEMBE au mwanaume wa shoka.
c)       Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume na hivyo kuufanya usimame barabara.
d)      Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.
e)      Husaidia kutibu madhara ya punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za kuongeza nguvu za kiume (Hasa zile za kizungu).
f)       Itakuepusha na tatizo la kumaliza mapema (Pre-mature ejaculation) kabla ya mke wako na hivyo kuimalisha upendo katika ndoa.
g)      Inaongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa (Libido). Mchanganyiko huo (JEMBE MIX) huongeza uzalishwaji wa homoni (kichocheo) ya kiume iitwayo Testosterone. Kwa mfano asali ina kiwango kikubwa cha madini yaitwayo Boron ambayo yana mchango mkubwa katika kuzalisha homoni hiyo.
h)      Pia itakuwezesha kufunga magoli Zaidi ya mara mbili bila kuchoka kwa sababu inaongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa (Ashki) na inaboresha mzunguko na msukumo wa damu katika mishipa ya damu ya Uume na hivyo kuufanya usimame barabara kama msumari. Lakini pia fahamu kuwa JEMBE MIX inaboresha mzunguko wa damu katika mishipa mingine yote ya damu mwilini na hivyo kukufanya kuwa imara na mwenye afya wakati wote.
i)        Inapunguza mrundikano wa mafuta (cholesterol) na sumu (Free radicals) mwilini.Fahamu kuwa mrundikano wa mafuta mwilini huathiri utendaji kazi wa moyo na mzunguko wa damu katika mishipa ya damu na kwa sababu hiyo mwanaume mwenye mafuta mengi mwilini, hapati msukumo wa kutosha wa damu katika mishipa ya Uume wake na hivyo kushindwa kusimama barabara, Uume unakuwa legelege/goi goi.Epuka vyakula vyenye mafuta mengi na pia uwe na utaratibu wa kufanya mazoezi. Free radicals ni zile seli zilizokufa au zilizoharibiwa mwilini na huwa zina tabia ya kushambulia seli zingine zilizo hai na kusababisha magonjwa mbali mbali na hatimae mwanaume hupoteza nguvu za kiume. Free radicals huwa zinaondolewa mwilini na virutubisho (Antioxidants) mbali mbali vitokanavyo na mimea ikiwemo matunda na mbogamboga. JEMBE MIX ina virutubisho mbali mbali vya mimea vinavyofanya kazi hiyo ya kuondoa free radicals mwilini na hivyo kukuepusha na magonjwa. Hata hivyo, unapotumia JEMBE MIX unapaswa pia kula matunda na mboga mbali mbali yenye/zenye rangi tofauti tofauti kwa ajili ya kuweza kuondoa mwilini aina mbali mbali za sumu (free radicals) na hivyo kukufanya kuwa na afya imara. Kumbuka kuwa matunda yana rangi tofauti tofauti kama ilivyo pia kwa mboga mboga na kila rangi ina maanisha uwezo wa kupambana au kuondoa aina fulani ya free radical/sumu kutoka mwilini. Unashauliwa kuhakikisha unakula matunda na mboga zenye rangi mbali mbali mara kwa mara. Kwa mfano: Kula matikiti maji, matango, ndizi mbivu, machungwa, maembe, malimao, nyanya, vitunguu maji, spinachi, mchicha n.k
j)        Inatibu tatizo la kusumbuliwa na gesi tumboni, inatibu tatizo la uchovu na maumivu ya mwili pale inapotumiwa mara kwa mara, matatizo ya mfumo wa upumuaji. Hii inatokana na kuwepo kwa virutubisho mbali mbali vikiwemo Asali, Mdalasini, Kitunguu saumu na Tangawizi. Kumbuka ili mwanaume awe na uwezo wa kumridhisha mwenzi wake, mwili wake kwa wakati huo unatakiwa kuwa katika hali nzuri (Fiti/sawa).Kwa mfano ukiwa na tatizo la kuchoka mara kwa mara au maumivu ya mwili ya mara kwa mara unaweza kushindwa kumfikisha mke wako kileleni. 
N.B: JEMBE MIX ni kwa ajili ya wanaume ambao wamewahi kuwa na Nguvu Za Kiume kwa hiyo wamepungukiwa ama wameishiwa nguvu hizo. JEMBE MIX haiwezi msaidia mtu ambae amezaliwa akiwa hana nguvu hizo yaani Hanithi.

NJIA MBILI ZA KUKUSAIDIA: 1) DAWA ya kutumia wiki 2 ninauza TSH 50,000/= na naweza kukutumia kwa basi kokote ulipo Tanzania. Kwa hiyo dozi kamili ni TSH 100,000/=.

2) Ukihitaji nikufundishe jinsi ya kuitengeneza mwenyewe na jinsi ya kuitumia ili uweze kuwa unajitengenezea kila mara inapoisha kulingana na uhitaji wako na hivyo kujiokolea fedha nyingi, gharama yake ni TSH 50,000/=. 

JE WEWE UNGEPENDA KUSAIDIWA KWA KUTUMIA NJIA IPI?
KUPANGA NI KUCHAGUA.
WASILIANA NASI KWA:
MOBILE: 0684450434