JE UNAFAHAMU KUWA
UNAWEZA KUPONA TATIZO HILI BILA HATA YA KUMEZA MADAWA?
(Hii ni kwa wale waliozaliwa na Nguvu zao za Kiume lakini zikapungua/kupotea.Si kwa wale waliozaliwa Hanithi)
UPUNGUFU WA NGUVU ZA
KIUME NI NINI?
Ni hali ya mwanaume kushindwa kumfikisha kileleni mke wake
au kwa lugha nyingine ni hali ya mwanaume kushindwa kumridhisha kimapenzi mke
wake.
DALILI ZA MWANAUME
MWENYE UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Zifuatazo ni baadhi ya dalili za mwanaume mwenye upungufu wa
nguvu za kiume:
i)
Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha Uume wake barabara
kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
ii)
Na hata uume wake ukisimama hubaki kuwa goigoi/legelege
na huweza kusinyaa wakati wowote.
iii)
Kumaliza mapema/kufika kileleni mapema kabla ya
mke wake.
iv)
Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi
ya mara moja. Hapa mwanaume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi
anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na
kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume.
v)
Uume kusinyaa na kurudi ndani. Hapa uume wa
mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa
kukamilisha tendo la ndoa. Hali hii kwa kiasi kikubwa husababishwa na upigaji
wa punyeto kwa muda mrefu pamoja na magonjwa hasa hasa chango la kiume au ngiri.
vi)
Mwanaume kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
hata anapokuwa faragha na mke wake.
vii)
Mwanaume Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa
uume wake. Hali hii inajitokeza pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu
wa kutosha kwenye mishipa ya uume, linapokuwa limekomaa.
FAHAMU KUWA: Uume
husimama (Hudinda) barabara pale mishipa yake ya damu inapopata msukumo wa
kutosha wa damu. Na hili linawezekana pale ambapo mfumo wa mzunguko wa damu
(The Blood circulation system) wa mwanaume unapokuwa katika hali nzuri ya
kiafya. Mfumo huo unahusisha Moyo na mishipa ya damu.
“Kitu chochote ambacho
ni kibaya au hatari kwa Moyo wako pia ni kibaya kwa Uume wako,” anasema Profesa
Andrew McCullough, Mkurugenzi wa Program
ya Afya ya Uzazi katika chuo kikuu cha New York (New York University, Langone
Medical Center).
Mfano mzuri na rahisi kabisa wa kitu kibaya au hatari kwa
moyo ni vyakula vya mafuta.
CHANZO CHA UPUNGUFU
WA NGUVU ZA KIUME
Zifuatazo ni baadhi ya sababu zinazosababisha upungufu wa Nguvu
Za Kiume kwa wanaume waliowengi:
i)
Kufanya
Punyeto kwa muda mrefu. Mtu anapopiga punyeto anakuwa anaiminya mishipa
inayo sababisha kusimama kwa uume, baada ya muda fulani, mishipa hiyo huishiwa
nguvu na kulegea na hivyo linapo kuja suala la kusimamisha uume, mwanaume huyu
anakuwa hana uwezo tena wa kusimamisha uume wake.
ii)
Matumizi
ya mara kwa mara ya madawa makali ya kuongeza nguvu za kiume (Hasa madawa ya
kizungu). Madawa haya husababisha mishipa ya uume kulegea kwa sababu
hui-overdose mishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi zaidi ya kiwango chake.
Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu humfanya muhusika kuwa tegemezi na pia
hufanya mishipa ya uume wa muhusika kulegea na kukosa nguvu.
iii)
Ulaji
wa vyakula vya mafuta kwa wingi kwa sababu huathiri moyo na mzunguko wa
damu mwilini na hivyo uume kukosa msukumo wa damu wa kutosha katika mishipa
yake ya damu.
iv)
Presha
na ugonjwa wa kisukari
v)
Ulevi
kupita kiasi. Mfano ulevi kupita kiasi wa pombe, madawa ya kulevya
husababisha mwanaume kupoteza Nguvu Za Kiume.
“Mpaka sasa hakuna utafiti wowote
unao onyesha kuwa unywaji pombe wa kiasi unaweza sababisha upungufu wa Nguvu Za
Kiume, lakini tafiti nyingi zinaonyesha kuwa unywaji pombe kupita kiasi wa mara
kwa mara kwa muda mrefu husababisha tatizo la kuharibika kwa INI (Liver
damage), uharibifu wa mfumo wa fahamu (Nervous system) na kuvuruga mpangilio wa
uzalishaji wa homoni (kichocheo) ya uzazi ya kiume na hatimae kusababisha
Upungufu wa Nguvu Za Kiume,” anasema Profesa Ira Sharlip wa chuo kikuu cha
Kalifonia, kutoka katika kitengo cha udaktari.
vi)
Msongo wa
mawazo au uchovu kupita kiasi. Hii husababisha mwanaume kukosa hamu ya
kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa katika sita kwa sita na mke wake. Msongo
wa mawazo unaufanya mwili kushindwa kuzalisha kiwango cha kutosha cha vichocheo
vya kufanya tendo la ndoa. Ili mwanaume aweze kuwa na hamu na nguvu ya kufanya
tendo la ndoa lazima tezi dume lake liwe na afya bora.Madini ya zinki ambayo
hupatikana kwa urahisi katika maharage,vitunguu,matango,karoti,spinachi,kabichi
na matunda mbalimbali husaidia kufanya tezi dume kuwa imara.
vii)
Uoga
au wasiwasi wa kufanya tendo la ndoa kutokana na kutokujiamini.
viii)
Kuvaa
nguo ya ndani/chupi inayobana sana kwa muda mrefu huiminya mishipa ya damu
iliyopo katika uume na baada ya muda mrefu mishipa hiyo hulegea na kusababisha
kupungua kwa uwezo wa uume kusimama.
ix)
Magonjwa
kama ngiri, chango la kiume, kupooza kwa mwili n.k
JE WEWE PIA UNA
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?
Kama Jibu Lako ni Ndio, Pole sana kwa tatizo ulilonalo,lakini
usihofu kwa sababu tatizo lako litaisha moja kwa moja, utalisahau maana Nguvu
Zako za Kiume zitarudi na utanguruma kama Simba nyikani, utatamba kama kifaru
au kijana aliye balehe leo.Pia tambua kuwa si wewe tu mwenye tatizo hilo, kuna
watu wengi sana wenye matatizo hayo na wamepona.Tafiti mbalimbali za kitaalamu
zinaonyesha kuwa katika kila wanaume 10 hususani wale wanaoishi katika maeneo
ya mjini, wanaume 4 wana tatizo hilo, na si wazee tu hata vijana wengi tu.Hii
imesababisha vijana na wazee wengi kujiingiza katika kutumia dawa mbalimbali za
kuongeza Nguvu za kiume zikiwemo zile za kizungu mfano VIAGRA ambazo zina
madhara makubwa kiafya. Baadhi ya madhara ya dawa hizo yamekuwa kama yafuatayo:
1)
Kwa wale wenye magojwa ya moyo, wengine wamekuwa
wakifariki wakati wakifanya tendo la ndoa kwa sababu wengi wao hawaendi katika
vituo vya afya kupata ushauri wa daktari kabla ya kuvitumia.
2)
Wengine yamewasababishia Upofu na wengine madhara
mengine (Side effects) mengi tu,
3)
Lakini pia hayo madawa ya kizungu pamoja na
mengine ya kienyeji yamewafanya watu kuwa tegemezi kwa maana ya kuwa asipoipata basi UUME wake huwa hausimami kiasi cha kuweza
kumridhisha mwenzi wake na hata ukisimama mwanaume humaliza mapema kabla ya mke wake (Pre-mature ejaculation).
Kwa hiyo kama huna pesa za kununua dawa huna jeuri au ujasiri wa kutafuta
mechi. Dawa hizi zinatoa matibabu ya muda mfupi tu wa masaa kadhaa, hazitoi
suluhisho la kudumu na matokeo yake zinaendelea kumfanya mtu aendelee KUPOTEZA
NGUVU ZA KIUME na kutokujiamini.
SIRI KUBWA YA DAWA ZA
KUONGEZA NGUVU ZA KIUME WANAOZITENGENEZA HAWATAKI UJUE
Dawa zote za kuongeza nguvu za kiume(za kizungu kama VIAGRA
na hata zile za kienyeji), zinapomezwa nusu saa au saa moja kabla ya tendo la
ndoa, huufanya mwili kuzalisha kemikali inayoitwa NITRIC OXIDE. NITRIC OXIDE
inapozalishwa huifanya mishipa ya damu mwili mzima na hata ile iliyoko katika
UUME kutanuka na kuruhusu DAMU ya kutosha kupita kwa msukumo/presha kubwa kuzunguka
mwilini mpaka katika UUME na hivyo kuufanya UUME usimame kama msumari. Msukumo
wa damu unaposababishwa na NITRIC OXIDE iliyozalishwa na madawa makali ya
kuongeza nguvu za kiume (Hasa zile za kizungu na baadhi ya za kienyeji) husababisha
mishipa ya damu iliyopo katika UUME kufanya kazi kupita kiwango chake kwa maana
ya kwamba inakuwa overdosed. Matumizi ya muda mrefu ya dawa hizo kali husababisha
mishipa ya uume kupoteza nguvu na kulegea na hivyo kumfanya mwanaume kupoteza
nguvu za kiume na kumfanya kuwa TEGEMEZI wa dawa hizo kila anapotaka kufanya
tendo la ndoa na mke wake. Hii ina maana kwamba sasa anajikuta analazimika
kuzinunua hizo dawa kwa ajili ya kuzitumia kila wakati anapotaka kufanya tendo
la ndoa na mke wake na hivyo kuendelea kuwatajilisha wanaozitengeneza na
kuziuza.Anageuka kuwa mtumwa.
Pia baada ya masaa kadhaa NITRIC OXIDE iliyozalishwa kwa
namna hii huisha mwilini na hivyo kuufanya UUME kusinyaa.Matumizi ya muda mrefu
ya dawa hizi humfanya mwanaume apoteze uwezo wa kujiamini na huendelea kuwa
TEGEMEZI.
FAHAMU kwamba unao uwezo mkubwa wa kujinasua au kujiepusha katika
minyororo hiyo ya UTEGEMEZI/UTUMWA kwa kuzalisha moja kwa moja NITRIC OXIDE
mwilini mwako wewe mwenyewe kwa njia za asili na zisizo na madhara tena kwa
gharama ndogo na ndani ya muda mfupi. Hii ni siri ambayo watengeneza dawa za
kuongeza nguvu wengi wasingependa uipate kwa sababu zitakuepusha na mitego yao
ya kukugeuza wewe kuwa soko kubwa la dawa zao na kuwafanya kuwa matajiri.JEMBE MIX ndio suluhisho na chaguo lako
namba moja na mwisho wa kitabu hiki nitakuelekeza jinsi ya kuitengeneza wewe
mwenyewe ili usiwe TEGEMEZI au MTUMWA wa mabepali.
JE JEMBE MIX NI NINI?
JEMBE MIX ni
mchanganyiko maalumu wa virutubisho vitokanavyo na mimea (Matunda,mbogamboga,
miti) na vyakula vingine ambao utakuletea suluhisho la KUDUMU la tatizo lako na
haina madhara ya aina yoyote katika afya yako. Mchanganyiko huo umefanyiwa
utafiti wa miaka mingi na wataalam mbali mbali wa sayansi ya lishe duniani .
Ikitumiwa kama inavyotakiwa, matokeo huanza kuonekana kuanzia wiki 2. Matokeo
mazuli Zaidi huanza kuoneana baada ya Mwezi mmoja.
JE JEMBE MIX
INATENGENEZWA KWA KUTUMIA MIMEA GANI?
Jembe mix inatengenezwa kwa kutumia virutubisho vitokanavyo
na mimea ifuatayo:
i)
Mdalasini (Cinnamon)
ii)
Kitunguu Saumu (Garlic)
iii)
Ginger (Tangawizi)
iv)
Pilipili Manga (Black
pepper)
v)
Karafuu (Clove)/Zanzibar Tea Masala
vi)
Habat soda/Habat sawda (Black seed)
vii)
Unga wa Soya (Soya
flour)
viii)
Asali
FAIDA ZA JEMBE MIX NA
JINSI GANI INAKUFANYA KUWA JEMBE?
JEMBE MIX ikitumiwa
kama inavyoelekezwa:
a)
Itauwezesha mwili wako wenyewe kuzalisha NITRIC
OXIDE moja kwa moja (automatically) na
ya KUDUMU na hivyo kuuwezesha UUME wako kusimama imara kama msumari, kama
kifaru, kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa tendo la ndoa, wakati wowote na mahari
popote uwapo katika mechi na hivyo utaweza mridhisha mpenzi wako kishujaa na
utafurahia ndoa yako.
b)
Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea
na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa
tendo la ndoa.Kwa kifupi mwanaume anakuwa JEMBE au mwanaume wa shoka.
c)
Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na
hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye
uume na hivyo kuufanya usimame barabara.
d)
Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.
e)
Husaidia kutibu madhara ya punyeto na matumizi
ya muda mrefu ya dawa kali za kuongeza nguvu za kiume (Hasa zile za kizungu).
f)
Itakuepusha na tatizo la kumaliza mapema
(Pre-mature ejaculation) kabla ya mke wako na hivyo kuimalisha upendo katika
ndoa.
g)
Inaongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa
(Libido). Mchanganyiko huo (JEMBE MIX) huongeza uzalishwaji wa homoni
(kichocheo) ya kiume iitwayo Testosterone. Kwa mfano asali ina kiwango kikubwa
cha madini yaitwayo Boron ambayo yana mchango mkubwa katika kuzalisha homoni
hiyo.
h)
Pia itakuwezesha kufunga magoli Zaidi ya mara
mbili bila kuchoka kwa sababu inaongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa (Ashki)
na inaboresha mzunguko na msukumo wa damu katika mishipa ya damu ya Uume na
hivyo kuufanya usimame barabara kama msumari. Lakini pia fahamu kuwa JEMBE MIX
inaboresha mzunguko wa damu katika mishipa mingine yote ya damu mwilini na
hivyo kukufanya kuwa imara na mwenye afya wakati wote.
i)
Inapunguza mrundikano wa mafuta (cholesterol) na
sumu (Free radicals) mwilini.Fahamu kuwa mrundikano wa mafuta mwilini huathiri
utendaji kazi wa moyo na mzunguko wa damu katika mishipa ya damu na kwa sababu
hiyo mwanaume mwenye mafuta mengi mwilini, hapati msukumo wa kutosha wa damu
katika mishipa ya Uume wake na hivyo kushindwa kusimama barabara, Uume unakuwa
legelege/goi goi.Epuka vyakula vyenye mafuta mengi na pia uwe na utaratibu wa
kufanya mazoezi. Free radicals ni zile seli zilizokufa au zilizoharibiwa mwilini
na huwa zina tabia ya kushambulia seli zingine zilizo hai na kusababisha
magonjwa mbali mbali na hatimae mwanaume hupoteza nguvu za kiume. Free radicals
huwa zinaondolewa mwilini na virutubisho (Antioxidants) mbali mbali vitokanavyo
na mimea ikiwemo matunda na mbogamboga. JEMBE MIX ina virutubisho mbali mbali
vya mimea vinavyofanya kazi hiyo ya kuondoa free radicals mwilini na hivyo
kukuepusha na magonjwa. Hata hivyo, unapotumia JEMBE MIX unapaswa pia kula
matunda na mboga mbali mbali yenye/zenye rangi tofauti tofauti kwa ajili ya
kuweza kuondoa mwilini aina mbali mbali za sumu (free radicals) na hivyo
kukufanya kuwa na afya imara. Kumbuka kuwa matunda yana rangi tofauti tofauti
kama ilivyo pia kwa mboga mboga na kila rangi ina maanisha uwezo wa kupambana
au kuondoa aina fulani ya free radical/sumu kutoka mwilini. Unashauliwa
kuhakikisha unakula matunda na mboga zenye rangi mbali mbali mara kwa mara. Kwa
mfano: Kula matikiti maji, matango, ndizi mbivu, machungwa, maembe, malimao, nyanya,
vitunguu maji, spinachi, mchicha n.k
j)
Inatibu tatizo la kusumbuliwa na gesi tumboni, inatibu
tatizo la uchovu na maumivu ya mwili pale inapotumiwa mara kwa mara, matatizo
ya mfumo wa upumuaji. Hii inatokana na kuwepo kwa virutubisho mbali mbali vikiwemo
Asali, Mdalasini, Kitunguu saumu na Tangawizi. Kumbuka ili mwanaume awe na
uwezo wa kumridhisha mwenzi wake, mwili wake kwa wakati huo unatakiwa kuwa
katika hali nzuri (Fiti/sawa).Kwa mfano ukiwa na tatizo la kuchoka mara kwa
mara au maumivu ya mwili ya mara kwa mara unaweza kushindwa kumfikisha mke wako
kileleni.
N.B: JEMBE MIX ni kwa ajili ya wanaume ambao wamewahi kuwa
na Nguvu Za Kiume kwa hiyo wamepungukiwa ama wameishiwa nguvu hizo. JEMBE MIX
haiwezi msaidia mtu ambae amezaliwa akiwa hana nguvu hizo yaani Hanithi.
NJIA MBILI ZA
KUKUSAIDIA: 1) DAWA ya kutumia wiki 2 ninauza TSH 50,000/= na naweza
kukutumia kwa basi kokote ulipo Tanzania. Kwa hiyo dozi kamili ni TSH
100,000/=.
2) Ukihitaji nikufundishe jinsi ya kuitengeneza mwenyewe na
jinsi ya kuitumia ili uweze kuwa unajitengenezea kila mara inapoisha kulingana
na uhitaji wako na hivyo kujiokolea fedha nyingi, gharama yake ni TSH 50,000/=.
JE WEWE UNGEPENDA KUSAIDIWA KWA KUTUMIA NJIA IPI?
KUPANGA NI KUCHAGUA.
WASILIANA NASI KWA:
EMAIL: nguvuzakiume@gmail.com
MOBILE: 0684450434
Dawa za kurefusha uume na kunenepesha uume na nguvu za kiume ..UTI..UGUMBA ....mtafute dr kanyas kupitia 0764839091
JibuFutaNishakuelewa
FutaUshauri wako mzuri
JibuFutaKwa gharama nafuu na Haina madhara, Kuna ustadh anatibu,, bei ni 20000/= tu. Hata mimi nimeinunua. 0676674450
JibuFutaNipigie nikuunge naye
Anatumia dawa gani huyo ustadh
JibuFutamimi nipo mwanza naweza kupata hio dawa ya kuongeza uume Contact:0715572877
JibuFutaVizur kwa ushaur wako mzur
JibuFutaHuu uwizi mmpya sasa na isiponiponesha
JibuFuta